Tetema - Rayvanny, Pitbull, Mohombi

Tetema - Rayvanny, Pitbull, Mohombi

Год
2019
Язык
`svahili`
Длительность
239900

Zemāk ir dziesmas vārdi Tetema , izpildītājs - Rayvanny, Pitbull, Mohombi ar tulkojumu

Dziesmas vārdi " Tetema "

Oriģinālteksts ar tulkojumu

Tetema

Rayvanny, Pitbull, Mohombi

Tetema!!!

Yani kama umepigwa shoti

Tetema!!!

Nipe migandisho ya roboti

Tetema!!!

Ukutani hadi kwenye kochi

Tetema!!!

Kwenye giza mama shika tochi

Katoto kamenoga (Oooh mama)

Kukapa ndizi za bukoba (Oooh mama)

Nakapandisha bodaboda (Oooh mama)

Kakichoka kuchuma mboga (Oooh mama)

Aiiii!!! mama! shigidi! (Aaaaah!)

Nakufa!!! hoi! wikidi! (Aaaah!)

Aiii!!! mama! shigidi! konki!!!

Fire! moto! liquid!!!

Haya twende tetema (Oooh mama tetema)

Tipwa tipwa tetema (Oooh mama tetema)

Haya twende tetema (Oooh mama tetema)

Shuka chini tetema (Oooh mama tetema)

Haya twende tetema (Oooh mama tetema)

Tipwa tipwa tetema (Oooh mama tetema)

Haya twende tetema (Oooh mama tetema)

Shuka chini tetema (Oooh mama tetema)

Tetema!!!

Yani kama vile generator

Tetema!!!

Kama mwizi kakupiga ngeta

Tetema!!!

Mwendo wa kutwanga kupepeta

Tetema!!!

Chini nikipuliza tarumbeta

Asa wozza doza

Cheza shogoloza

Kufa chali kama mende

Maria Rosa doza tungi limekoza

Twende nikupige nyembe

Mmmmmbbbrr ok!!!

You make my mind go kolo (Kolooo Kolooo)

Ukinuna tu mie doro (Doroooo Dorooo)

Washa!!!

Sa nipe za digi digi

Washa!!!

Miuno ya Gigi Gigi

Washa!!!

Funga kibindo mkwiji kwiji

Washa!!!

Nikunyonge ka zigi zigi

Teeete!!!

Oooh mama tetema

Tipwa tipwa tetema (Oooh mama tetema)

Haya twende tetema (Oooh mama tetema)

Shuka chini tetema (Oooh mama tetema)

Haya twende tetema (Oooh mama tetema)

Tipwa tipwa tetema (Oooh mama tetema)

Haya twende tetema (Oooh mama tetema)

Shuka chini tetema (Oooh mama tetema)

Chiiiiiii!!!

Kichaaa kime (Kime kimempanda)

Amewehuka (Kime kimempanda)

Kapandisha mizuka (Kime kimempanda)

Anaruka ruka (Kime kimempanda mamaaaaa!)

Kichaa kime (Kime kimempanda)

Kapanda juu ya meza (Kime kimempanda)

Eti anavua shati (Kime kimempanda)

Kalewa anacheza (Kime kimempanda)

Yani varangati

Vairāk nekā 2 miljoni dziesmu tekstu

Dziesmas dažādās valodās

Tulkojumu pakalpojumi

Augstas kvalitātes tulkojumi visās valodās

Ātrā meklēšana

Atrodiet nepieciešamos tekstus dažu sekunžu laikā