Yanga - Harmonize

Yanga - Harmonize

Год
2020
Язык
`svahili`
Длительность
270860

Zemāk ir dziesmas vārdi Yanga , izpildītājs - Harmonize ar tulkojumu

Dziesmas vārdi " Yanga "

Oriģinālteksts ar tulkojumu

Yanga

Harmonize

Hii hapa sauti ya Konde boy mjeshi

Mtoto wa jangwani timu ya wananchi

Yaani kati kati ya jiji la Dar

Si ndo watoto wa jangwani Yanga Dar Africa

Makombe ya kabatini Hawawezi kufika

Mpira unapigwa chini magoli uhakika

Yaani dakika tisini tumesha watundika

Wanaona donge hao wanyonge

(Wanaona donge hao wanyonge)

Yanga tunaposhinda wanaona donge

(Wanaona donge hao wanyonge)

Wanaona donge hao wanyonge

(Wanaona donge hao wanyonge)

Yanga tunaposhinda wanaona donge

(Wanaona donge hao wanyonge)

Engineer naomba nikutume

Unifikishie salamu

Kwa Dr Msolo na Antonio Lugazi

Ah waambie majirani Yanga sio size yao

Yanga sio size yao, Kabisa!

Wanaokwenda na waende, watuachie wenyewe

Wanaokwenda na waende, watuachie wenyewe

Yanga sio size yao, Yanga sio size yao

Yanga sio size yao, Yanga sio size yao

Yanga sio size yao, Yanga sio size yao

Tupeleke GSM

Watoto wa GSM

Wanangu wa jangwani

Pale pale wanachechemea (Yanga tunatembea)

Wahuni wanachechemea (Yanga tunatembea)

Eeeh wanachechemea (Yanga tunatembea)

Aaah anachechemea (Yanga tunatembea)

Wamechoka wanachechemea (Yanga tunatembea)

Eeeh wanachechemea (Yanga tunatembea)

Yanga kindakindaki wapige waniue

Naipenda Yanga kindakindaki wapige waniue

Eeeh mimi shabiki kindakindaki wapige waniue

Yanga kufa kupona wapige waniue

Eeh basi kama unaipenda Yanga piga makofi

We wote tena twende, piga makofi

Kama unaipenda Yanga piga makofi

Ongeza ongeza tena, piga makofi

Aya pasha pasha wahuni pasha

Twende pasha pasha wahuni pasha

Aya pasha pasha danga pasha

Nasema piga makofi piga makofi

Piga makofi piga makofi

Piga makofi piga makofi

Piga makofi piga makofi

Kama wewe ni shabiki kweli

Onesha jezi nikuone

Uzi mweupe wa GSM

Wewe onesha jezi nikuone

Kama kweli shabiki damu

Vua jezi nikuone

We kama kweli shabiki damu

Lala chini tukuone

Asa Yanga daima mbele, mbele kwa mbele

Wakishindana na sisi watachuna tembele

Twende mbele kwa mbele, Yanga daima mbele

Wakishindana na sisi watachuna tembele

Yanga daima mbele, mbele kwa mbele

Wakishindana na sisi watachuna tembele

Yanga daima mbele, mbele kwa mbele

Wakishindana na sisi watachuna tembele

Watoto wa jangwani

Waambie majirani zetu wamechokoza nyuki

Tunawapumulia golini kwao hatubanduki

Anayezungumza hapa ni Konde Boy mjeshi

Twende sasa!

Vairāk nekā 2 miljoni dziesmu tekstu

Dziesmas dažādās valodās

Tulkojumu pakalpojumi

Augstas kvalitātes tulkojumi visās valodās

Ātrā meklēšana

Atrodiet nepieciešamos tekstus dažu sekunžu laikā